Je umechoka kuangalia makongamano na semina za mtandaoni na za wavuti?
Je ungetamani kutemebelea mahali kupya kwenye kuvutia?
Tuna mazuri kwa ajili yako

Safari ya Innovation
March 24, 2021 13:00-15:00 CET

Book your seat



Abiri Solferino Air uturuhusu kukupeleka pahali pawili pa kipekee pakuhamasisha. IOME Lamu Kenya na 21 Parisi Ufaransa.

Wakati wa safari hizi mbili utajionea, kuskia pia kupata uzoefu ni namna gani mashirika mawili ya mslaba mwekundu ya kitaifa yanavyosaidia wafanyi kazi wao, wenye kujitolea na jamii kwa jumla kuleta fikra zao kiuhalisia na kuunda suluhu yenye athari kubwa kwenye jamii. Pia utapata kufurahia mandhari mazuri, mapochopocho na utamduni maridadi wa sehemu hizi. Waalike marafiki zako na ukae chonjo kwa tunu ya ubunifu wa kipekee kwa mara ya kwanza.

Waalike marafiki zako na ukae chonjo kwa tunu ya ubunifu wa kipekee kwa mara ya kwanza.

Book your seat

Safari ya Uhalsia ni tukio linalo andaliwa na IFRC Solferino na IOME Mslaba mwekundu Kenya Pamoja na 21, the social Accelarator ya Msalaba mwekundu Ufaransa. Safari iko wazi kwa kila mtu ndani na nje ya mslaba Mwekundu na mwezi mwekundu. Safari iko wazi kwa kila mtu ndani na nje ya mslaba Mwekundu na mwezi mwekundu.


This image has an empty alt attribute; its file name is i_O_me-logo-2-1.png

This image has an empty alt attribute; its file name is Sj58Otrp.png

I.O.Me ni maabra ya uvumbuzi ya msalabamwekundu ilioko Kaunti ya Lamu Kenya. Ni maabara ya uvumbuzi ya kisasa ambao ina vifaa vya kisasa. Maabara inalenga kuwezesha jamii na wavumbuzi ili kuboresha taaluma za kienyeji na talnta , kuunda,kujenga na kuboresha suluhisho. pia kuimarisha uthabiti na uchumi bora. The Lab aims to empower communities and innovators to enhance local skills and talent to create, build and improve solutions to strengthen resilience and economic empowerment.

21 Social Accelarator iko gorofa ya kwanza katika ufisi kuu za msalama mwekundu Ufaransa Paris. 21 Social Accelarator iko gorofa ya kwanza katika ufisi kuu za msalama mwekundu Ufaransa Paris. Inachukua sehemu ya takriban 1,000m² ambao inapeana msaada wa kifikra wa kibiasha na kuhakikisha miradi yenye athatri njema na wafanya kazi wake washirikiana pamoja .Pia ni sehemu ya digitali ya kisasa.

Website |  + posts