Weka alama ya kalenda na ukae tayari kujiunga nasi kwa matembezi halisia ya kipekee kutoka Kenya hadi Ufaransa. Popote Ulipo kaa kaa chini Ufurahie
Matembezi halisi ya mtandao ya uvumbuzi ni tukio linaloandaliwa na IFRC Solferino Academy ikishirikiana na I.O.Me Msalaba mwekundu pamoja na 21 social accelarator ya ufaransa Mslaba mwekundu.
I.O.Me ni maabra ya uvumbuzi ya msalabamwekundu ilioko Kaunti ya Lamu Kenya. Ni maabara ya uvumbuzi ya kisasa ambao ina vifaa vya kisasa. Maabara inalenga kuwezesha jamii na wavumbuzi ili kuboresha taaluma za kienyeji na talnta , kuunda,kujenga na kuboresha suluhisho. pia kuimarisha uthabiti na uchumi bora.
21 Social Accelarator iko gorofa ya kwanza katika ufisi kuu za msalama mwekundu Ufaransa Paris. 21 Social Accelarator iko gorofa ya kwanza katika ufisi kuu za msalama mwekundu Ufaransa Paris. Inachukua sehemu ya takriban 1,000m² ambao inapeana msaada wa kifikra wa kibiasha na kuhakikisha miradi yenye athatri njema na wafanya kazi wake washirikiana pamoja .Pia ni sehemu ya digitali ya kisasa.