Wakati wa safari hizi mbili utajionea, kuskia pia kupata uzoefu ni namna gani mashirika mawili ya mslaba mwekundu ya kitaifa yanavyosaidia wafanyi kazi wao, wenye kujitolea na jamii kwa jumla kuleta fikra zao kiuhalisia na kuunda suluhu yenye athari kubwa kwenye jamii. Pia utapata kufurahia mandhari mazuri, mapochopocho na utamduni maridadi wa sehemu hizi. Waalike marafiki zako na ukae chonjo kwa tunu ya ubunifu wa kipekee kwa mara ya kwanza.

read more